ramani ya nyumba vyumba 3 na sebule

Three bedrooms house plan

 Ramani ya nyumba ya kisasa yenye vyumba vitatu vya kulala kwenye vyumba vitatu kuna chumba limoja cha master bedroom, na vingine vyumba viwili vya kawaida ambapo kimoja ni chumba cha Watoto wasichana na kingine ni cha Watoto wa kiume


Kama unataka kuona ramani nzima na muonekano wake wa nje bonyeza maneno download hapo chini