Ramani ya nyumba ndogo ya kisasa

 Ramani ya nyumba ya kisasa yenye vyumba vitatu vya kulala. Kwenye vyumba hivyo vitatu, limoja ni chumba cha master bedroom, na viwili vilivyobaki ni self contained rooms .







Kama unaihitaji ramani ya nyumba hii tafadhali weka mawasiliano Yako yanayopatikana katika sehemu ya comment hapo chini. Asante