ramani ya kisasa yavyumba vitatu


 ramani ya nyumba ya vyumba vitatu , contemporary house design

ramani hii inavitu vifuatavyo"

1. vyumba vitatu vya kulala

2.sittingroom kubwa 

3. diningroom

4.stoor 

pamoja na chumba cha kujisomea